Katika kuhamasisha utunzaji wa mazingira imefunguliwa Club ya mazingira katika shule ya msingi mapinduzi jijini Mbeya, ambapo hatua ya kwanza ilikuwa wanaclub kupatiwa mafunzo na sasa wamekabidhiwa vifaa mbalimbali watakavyo tumia katika utunzaji wa mazingira
Baadhi ya matukio ya picha katika makabidhiano ya vifaa
Wanaclub wakiwa wameshika ujumbe mbalimbali
Project officer na Katibu wa club ya mazingira mapinduzi
Wakielezea mahitaji wanayohitaji na changamoto wanazozipata
Katibu akipokea vifaa kwa program officer wa mradi DEBORA NJULUMI
LINDA MAZINGIRA, OKOA DUNIA
SAIDIA KUYATUNZA MAZINGIRA
AHSANTENI KWA WOTE MNAOONESHA USHIRIKIANO KUFANIKISHA KAZI ZETU
Nakukubari Dada angu.melkizedeck
ReplyDelete0624240453bado nipo tabora nakumbuka Mara ya mwisho tumekutana SUA
ReplyDelete